Kutoka 15:7
Katika ukuu wa utukufu wako, 2 ukawaangusha chini wale waliokupinga. 1 Uliachia hasira yako kali, 2 ikawateketeza kama kapi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 5:12Basi watu wakatawanyika kote nchini Misri kukusanya mabua ya kutumia badala ya nyasi.
Deuteronomy 33:26“Hakuna mwingine kama Mungu wa Yeshuruni, 2 ambaye hupanda juu ya mbingu ili akusaidie, 2 na juu ya mawingu katika utukufu wake. 1
Psalms 59:13wateketeze katika ghadhabu, 2 wateketeze hadi wasiwepo tena. 1 Ndipo itakapofahamika katika miisho ya dunia 2 kwamba Mungu anatawala juu ya Yakobo. 1
Psalms 78:49Aliwafungulia hasira yake kali, 2 ghadhabu yake, hasira na uadui, 2 na kundi la malaika wa kuharibu. 1
Psalms 148:13Wote na walisifu jina la Bwana, 2 kwa maana jina lake pekee limetukuka, 2 utukufu wake uko juu ya nchi na mbingu. 1
Isaiah 5:24Kwa hiyo, kama ndimi za moto zirambavyo nyasi, 2 na kama vile majani makavu yazamavyo katika miali ya moto, 1 ndivyo mizizi yao itakavyooza 2 na maua yao yatakavyopeperushwa kama mavumbi; 1 kwa kuwa wameikataa sheria ya Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 na kulisukumia mbali neno la Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1