Kutoka 16:1
Jumuiya yote ya Kiisraeli ikaondoka Elimu, wakafika Jangwa la Sini, lililokuwa kati ya Elimu na Sinai, siku ya kumi na tano ya mwezi wa pili baada ya kutoka Misri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Huko jangwani hiyo jumuiya yote wakawanungʼunikia Mose na Aroni.
Cross References
Exodus 15:27Kisha wakafika Elimu, mahali palipokuwa na chemchemi kumi na mbili, na miti sabini ya mitende, wakapiga kambi huko karibu na maji.
Numbers 33:10Wakaondoka Elimu na kupiga kambi kando ya Bahari ya Shamu. 1
Ezekiel 30:15Nitaimwaga ghadhabu yangu juu ya Pelusiumu, + 30:15 Kiebrania ni Sini. 2 ngome ya Misri, 1 nami nitakatilia mbali 2 makundi ya wajeuri wa Thebesi. 1