Kutoka 16:14
Wakati umande ulipoondoka, vipande vidogo vidogo kama theluji vilionekana juu ya uso wa jangwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Jioni ile kware wakaja wakaifunika kambi na asubuhi kulikuwa na tabaka la umande kuzunguka kambi.
Cross References
Exodus 16:31Watu wa Israeli wakaita ile mikate mana + 16:31 Mana maana yake ni mkate kutoka mbinguni. Ilikuwa myeupe kama mbegu za mtama na ladha yake ilikuwa kama mkate mwembamba uliotengenezwa kwa asali.
Deuteronomy 8:3Alikudhili na kukufanya uone njaa kisha akulishe kwa mana, ambayo wewe wala baba zako hamkuijua, awafundishe kuwa mwanadamu hataishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Bwana.
Psalms 78:24akawanyeshea mana ili watu wale; 2 aliwapa nafaka ya mbinguni. 1
Psalms 147:16Anatandaza theluji kama sufu 2 na kutawanya umande kama majivu. 1