Kutoka 16:29
Fahamuni kuwa Bwana amewapa ninyi Sabato, ndiyo sababu katika siku ya sita amewapa mikate ya siku mbili. Kila mmoja inampasa kukaa pale alipo katika siku ya saba. Hata mmoja haruhusiwi kutoka.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Ndipo Bwana akamwambia Mose, “Je, mtaacha kushika maagizo na maelekezo yangu mpaka lini?
30Kwa hiyo watu wakapumzika siku ya saba.
Cross References
Leviticus 25:21Nitawapelekeeni baraka ya pekee katika mwaka wa sita, kwamba nchi itazalisha mazao ya kutosha kwa miaka mitatu.
Isaiah 58:13“Kama ukitunza miguu yako isivunje Sabato, 2 na kutokufanya kama vile upendavyo katika siku yangu takatifu, 1 kama ukiita Sabato siku ya furaha 2 na siku takatifu ya Bwana ya kuheshimiwa, 1 kama utaiheshimu kwa kutoenenda 2 katika njia zako mwenyewe, 1 na kutokufanya yakupendezayo 2 au kusema maneno ya upuzi, 1
Matthew 24:20Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi au siku ya Sabato.