Isaiah 58:13
“Kama ukitunza miguu yako isivunje Sabato, 2 na kutokufanya kama vile upendavyo katika siku yangu takatifu, 1 kama ukiita Sabato siku ya furaha 2 na siku takatifu ya Bwana ya kuheshimiwa, 1 kama utaiheshimu kwa kutoenenda 2 katika njia zako mwenyewe, 1 na kutokufanya yakupendezayo 2 au kusema maneno ya upuzi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 20:8Ikumbuke siku ya Sabato, uitakase.
Exodus 36:2Ndipo Mose akawaita Bezaleli na Oholiabu na kila mtu mwenye ustadi ambaye Bwana alikuwa amempa uwezo na mwenye kupenda kuja na kufanya kazi.
Deuteronomy 5:12Adhimisha siku ya Sabato na kuiweka takatifu, kama Bwana Mungu wako alivyokuagiza.
Psalms 27:4Jambo moja ninamwomba Bwana, 2 hili ndilo ninalolitafuta: 1 niweze kukaa nyumbani mwa Bwana 2 siku zote za maisha yangu, 1 niutazame uzuri wa Bwana 2 na kumtafuta hekaluni mwake. 1
Psalms 84:2Nafsi yangu inatamani sana, 2 naam, hata kuona shauku, 2 kwa ajili ya nyua za Bwana; 1 moyo wangu na mwili wangu 2 vinamlilia Mungu Aliye Hai. 1
Psalms 92:1Ni vyema kumshukuru Bwana 2 na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana, 1