Kutoka 16:36
(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa. + 16:36 Efa moja ni sawa na kilo 22.)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now an omer is the tenth part of an ephah.
In Context
Cross References
Exodus 16:16Hivi ndivyo Bwana alivyoamuru: ‘Kila mmoja akusanye kiasi anachohitaji. Chukueni pishi + 16:16 Pishi ni kipimo cha ujazo, kwa Kiebrania ni omeri, ambacho ni sawa na kilo mbili. moja kwa kila mtu mliye naye katika hema yenu.’ ”
Ruth 2:17Basi Ruthu akaokota masazo shambani hata jioni. Akatwanga ile shayiri aliyokusanya, ikajaa efa moja. + 2:17 Efa moja ni sawa na kilo 22.