Ruth 2:17
Basi Ruthu akaokota masazo shambani hata jioni. Akatwanga ile shayiri aliyokusanya, ikajaa efa moja. + 2:17 Efa moja ni sawa na kilo 22.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Badala yake, toeni masuke katika miganda, mwachieni ayaokote, na msimkemee.”
Cross References
Exodus 16:36(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa. + 16:36 Efa moja ni sawa na kilo 22.)
Ezekiel 45:11Efa na bathi viwe sawa, bathi iwe sehemu ya kumi ya homeri na efa iwe sehemu ya kumi ya homeri, homeri itakuwa ndicho kiwango cha kukubalika kwa vyote viwili.