Exodus 17:13
Kwa hiyo Yoshua akalishinda jeshi la Waamaleki kwa upanga.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joshua discomfited Amalek and his people with the edge of the sword.
In Context
Cross References
Joshua 8:26Kwa maana Yoshua hakuurudisha ule mkono wake uliokuwa umeuinua mkuki hadi alipomaliza kuwaangamiza wote walioishi Ai.
Joshua 10:32Bwana akautia Lakishi mikononi mwa Israeli, Yoshua akauteka siku ya pili. Yoshua akauangamiza mji na kila kilichokuwa ndani yake kwa upanga, kama tu vile alivyokuwa ameufanyia mji wa Libna.
Joshua 10:42Wafalme hawa wote pamoja na nchi zao Yoshua aliwashinda kwa wakati mmoja, kwa sababu Bwana, Mungu wa Israeli, aliwapigania Israeli.