Kutoka 17:14
Kisha Bwana akamwambia Mose, “Andika mambo haya katika kitabu ili yakumbukwe, na uhakikishe kwamba Yoshua amesikia, kwa sababu nitafuta kabisa kumbukumbu la Amaleki chini ya mbingu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Kwa hiyo Yoshua akalishinda jeshi la Waamaleki kwa upanga.
Cross References
Exodus 12:14“Siku hii itakuwa kumbukumbu kwenu, mtaiadhimisha kuwa sikukuu kwa Bwana, katika vizazi vyenu vyote: mtaishika kuwa amri ya kudumu.
Exodus 24:4Ndipo Mose akaandika kila kitu Bwana alichokuwa amesema. Akaamka kesho yake asubuhi na mapema na kujenga madhabahu chini ya mlima na kusimamisha nguzo kumi na mbili za mawe kuwakilisha makabila kumi na mawili ya Israeli.
Numbers 24:20Kisha Balaamu akawaona watu wa Amaleki, na kutoa ujumbe wake: 1 “Amaleki ilikuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa, 2 lakini mwisho wake itaangamizwa milele.”
Deuteronomy 25:17Kumbuka kile Waamaleki walichowatendea mlipokuwa njiani mkitoka Misri.
Deuteronomy 31:9Kwa hiyo Mose akaandika sheria hii na kuwapa makuhani, wana wa Lawi, waliochukua Sanduku la Agano la Bwana na wazee wote wa Israeli.
1 Samuel 15:2Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: ‘Nitawaadhibu Waamaleki kwa kile walichowatendea Israeli walipowavizia wakati walipanda kutoka Misri.