The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 17 › Kutoka 17:6

Kutoka 17:6

Huko nitasimama mbele yako karibu na mwamba wa Horebu. Uupige mwamba na maji yatatoka ndani yake kwa ajili ya watu kunywa.” Kwa hiyo Mose akafanya haya mbele ya wazee wa Israeli.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, I will stand before thee there upon the rock in Horeb; and thou shalt smite the rock, and there shall come water out of it, that the people may drink. And Moses did so in the sight of the elders of Israel.

In Context

5Bwana akamjibu Mose, “Pita mbele ya watu. Wachukue pamoja nawe baadhi ya wazee wa Israeli, ichukue mkononi mwako ile fimbo uliyopiga nayo Mto Naili, nawe uende.

7Naye akapaita mahali pale Masa, + 17:7 Masa maana yake ni Kujaribu. na Meriba + 17:7 Meriba maana yake ni Kugombana. kwa sababu Waisraeli waligombana na kumjaribu Bwana wakisema, “Je, Bwana yu pamoja nasi au la?” 1 Vita Na Waamaleki

Read all of Kutoka 17

Cross References

Exodus 16:10Aroni alipokuwa akizungumza na jumuiya yote ya Waisraeli, wakatazama kuelekea jangwani, na huko wakaona utukufu wa Bwana ukitokeza katika wingu.

Numbers 20:11Ndipo Mose akainua mkono wake na kuupiga mwamba mara mbili kwa fimbo yake. Maji yakabubujika, nayo jumuiya na mifugo yao wakanywa.

Nehemiah 9:15Katika njaa yao uliwapa mkate kutoka mbinguni, na katika kiu yao uliwatolea maji kutoka kwenye mwamba. Uliwaambia waingie na kuimiliki nchi ambayo ulikuwa umeapa kuwapa kwa mkono ulioinuliwa.

Psalms 74:15Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito, 2 ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima. 1

Psalms 78:20Alipopiga mwamba, maji yalitoka kwa nguvu, 2 vijito vikatiririka maji mengi. 1 Lakini je, aweza kutupa chakula pia? 2 Je, anaweza kuwapa watu wake nyama?” 1

Psalms 114:8aliyegeuza mwamba kuwa dimbwi la maji, 2 mwamba mgumu kuwa chemchemi za maji.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 17:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 17:5Kutoka 17Kutoka 17:7 →