The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 18 › Exodus 18:13

Exodus 18:13

Siku iliyofuata, Mose akachukua nafasi yake kama hakimu wa watu, nao wakasimama kumzunguka kuanzia asubuhi hadi jioni.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it came to pass on the morrow, that Moses sat to judge the people: and the people stood by Moses from the morning unto the evening.

In Context

12Kisha Yethro, baba mkwe wa Mose, akaleta sadaka ya kuteketezwa na dhabihu nyingine kwa Mungu, naye Aroni pamoja na wazee wote wa Israeli wakaja kula chakula pamoja na baba mkwe wa Mose mbele za Mungu. 1 Ushauri Wa Yethro (Kumbukumbu 1:9-18)

14Baba mkwe wake alipoona yote Mose anayowafanyia watu, akasema, “Ni nini hiki unachowafanyia watu? Kwa nini wewe unakuwa mwamuzi wa watu hawa peke yako, wakati watu hawa wamesimama wakikuzunguka tangu asubuhi mpaka jioni?”

Read all of Exodus 18

Cross References

Judges 5:10“Nanyi mpandao punda weupe, 2 mkiketi juu ya matandiko ya thamani, 2 nanyi mtembeao barabarani, 1 fikirini

Isaiah 16:5Kwa upendo kiti cha enzi kitaimarishwa, 2 kwa uaminifu mtu ataketi juu yake, 2 yeye atokaye nyumba ya Daudi: 1 yeye ambaye katika kuhukumu hutafuta haki, 2 na huhimiza njia ya haki. 1

Matthew 23:2“Walimu wa sheria na Mafarisayo wameketi katika kiti cha Mose,

Romans 13:6Kwa sababu hii mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu, ambao hutumia muda wao wote kutawala.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 18:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 18:12Exodus 18Exodus 18:14 →