bible.software › Exodus › Exodus 18 › Exodus 18:2
Exodus 18:2
Baada ya Mose kumrudisha mkewe Sipora, Yethro baba mkwe wake alimpokea
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then Jethro, Moses’ father in law, took Zipporah, Moses’ wife, after he had sent her back,
In Context
1Basi Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Mose, akawa amesikia kila kitu Mungu alichomfanyia Mose na watu wake wa Israeli, pia jinsi Bwana alivyowatoa Israeli Misri.
3pamoja na wanawe wawili. Jina la mmoja aliitwa Gershomu, kwa kuwa Mose alisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.”
Read all of Exodus 18
Cross References
Exodus 2:21Mose akakubali kukaa kwa huyo mtu, ambaye alimpa Mose binti yake aliyeitwa Sipora amwoe.
This Verse In Other Editions
Study Exodus 18:2