Exodus 18:3
pamoja na wanawe wawili. Jina la mmoja aliitwa Gershomu, kwa kuwa Mose alisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Baada ya Mose kumrudisha mkewe Sipora, Yethro baba mkwe wake alimpokea
Cross References
Exodus 2:22Sipora alizaa mtoto wa kiume, naye Mose akamwita Gershomu, akisema, “Nimekuwa mgeni katika nchi ya kigeni.”
1 Chronicles 23:15Wana wa Mose walikuwa: 2 Gershomu na Eliezeri. 1
Acts 7:29Mose aliposikia maneno haya, alikimbilia huko Midiani alikokaa kama mgeni, naye akapata watoto wawili wa kiume.
1 Peter 2:11Wapenzi, ninawasihi, mkiwa kama wageni na wapitaji hapa ulimwenguni, epukeni tamaa mbaya za mwili ambazo hupigana vita na roho zenu.