Exodus 2:1
Basi mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaoa mwanamke Mlawi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there went a man of the house of Levi, and took to wife a daughter of Levi.
In Context
Cross References
Genesis 35:22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1
Exodus 6:20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 1
1 Kings 11:17Lakini Hadadi, akiwa bado mvulana mdogo, alikimbilia Misri akiwa na baadhi ya maafisa wa Kiedomu waliokuwa wakimhudumia baba yake.
1 Chronicles 23:12Wana wa Kohathi walikuwa wanne: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1