bible.software › Kutoka › Kutoka 2 › Kutoka 2:12
Kutoka 2:12
Mose akatazama huku na huko asione mtu yeyote, akamuua yule Mmisri, akamficha mchangani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he looked this way and that way, and when he saw that there was no man, he slew the Egyptian, and hid him in the sand.
In Context
11Siku moja, baada ya Mose kukua, akaondoka kwenda walikokuwa watu wake, na akachunguza jinsi walivyokuwa wakifanya kazi ngumu. Akamwona Mmisri akimpiga Mwebrania, mmojawapo wa watu wake.
13Kesho yake akatoka, akaona Waebrania wawili wakipigana. Akamuuliza yule aliyekosa, “Mbona unampiga Mwebrania mwenzako?”
Read all of Kutoka 2
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 2:12