bible.software › Exodus › Exodus 2 › Exodus 2:13
Exodus 2:13
Kesho yake akatoka, akaona Waebrania wawili wakipigana. Akamuuliza yule aliyekosa, “Mbona unampiga Mwebrania mwenzako?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he went out the second day, behold, two men of the Hebrews strove together: and he said to him that did the wrong, Wherefore smitest thou thy fellow?
In Context
12Mose akatazama huku na huko asione mtu yeyote, akamuua yule Mmisri, akamficha mchangani.
14Yule mtu akamjibu, “Ni nani aliyekufanya mtawala na mwamuzi juu yetu? Je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule Mmisri?” Ndipo Mose akaogopa na kuwaza, “Jambo lile nililofanya lazima limefahamika.”
Read all of Exodus 2
Cross References
Acts 7:26Siku iliyofuata Mose aliwakuta Waisraeli wawili wakigombana, akajaribu kuwapatanisha kwa kuwaambia, ‘Enyi watu, ninyi ni ndugu, mbona mnataka kudhulumiana?’
This Verse In Other Editions
Study Exodus 2:13