Kutoka 20:3
Usiwe na miungu mingine ila mimi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt have no other gods before me.
In Context
2“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. 1
Cross References
Exodus 15:11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana? 2 Ni nani kama Wewe: 3 uliyetukuka katika utakatifu, 3 utishaye katika utukufu, 3 ukitenda maajabu? 1
Exodus 22:19“Mtu yeyote aziniye na mnyama lazima auawe.
Deuteronomy 5:7Usiwe na miungu mingine ila mimi. 1
Deuteronomy 6:14Usifuate miungu mingine, miungu ya mataifa yanayokuzunguka;
Judges 6:10Nikawaambia, ‘Mimi ndimi Bwana Mungu wenu; msiiabudu miungu ya Waamori, ambayo mnakaa katika nchi yao!’ Lakini ninyi hamkuitii sauti yangu.”
2 Kings 17:29Hata hivyo, kila kikundi cha taifa lililoletwa Samaria kilitengeneza miungu yao wenyewe katika miji kadhaa mahali walipoishi, nao wakaiweka mahali pa ibada za miungu ambapo watu wa Samaria walikuwa wametengeneza katika mahali pa juu.