Exodus 21:15
“Yeyote amshambuliaye baba yake au mama yake ni lazima auawe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he that smiteth his father, or his mother, shall be surely put to death.
In Context
14Lakini kama mtu akipanga na kumuua mwingine kwa makusudi, mwondoe katika madhabahu yangu na kumuua.
16“Yeyote amtekaye nyara mwingine akamuuza au akamweka kwake, akikamatwa ni lazima auawe.
Cross References
Deuteronomy 27:24“Alaaniwe mtu amuuaye jirani yake kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”
Proverbs 30:17“Jicho lile limdhihakilo baba, 2 lile linalodharau kumtii mama, 1 litangʼolewa na kunguru wa bondeni, 2 litaliwa na tai. 1