bible.software › Exodus › Exodus 22 › Exodus 22:12
Exodus 22:12
Lakini kama mnyama aliibwa kwa jirani, itampasa amlipe mwenye mnyama.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if it be stolen from him, he shall make restitution unto the owner thereof.
In Context
11jambo hili kati yao wawili litaamuliwa kwa kuapa kiapo mbele za Bwana, kwamba huyo jirani hakuhusika na wizi wa mali ya jirani yake. Mwenye mali itampasa akubali jambo hili, na hakuna malipo yatakayohitajika.
13Kama ameraruliwa na mnyama pori, ataleta mabaki ya mnyama kama ushahidi, naye hatadaiwa kulipa mnyama aliyeraruliwa.
Read all of Exodus 22
Cross References
Exodus 22:7“Kama mtu akimpa jirani yake fedha au mali nyingine amtunzie, na kama vikiibwa kutoka nyumba ya huyo jirani, kama mwizi atashikwa, lazima alipe mara mbili.
This Verse In Other Editions
Study Exodus 22:12