The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 22 › Exodus 22:13

Exodus 22:13

Kama ameraruliwa na mnyama pori, ataleta mabaki ya mnyama kama ushahidi, naye hatadaiwa kulipa mnyama aliyeraruliwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If it be torn in pieces, then let him bring it for witness, and he shall not make good that which was torn.

In Context

12Lakini kama mnyama aliibwa kwa jirani, itampasa amlipe mwenye mnyama.

14“Kama mtu akimwazima mnyama kutoka kwa jirani yake, na kama akiumia au akafa na mwenye mnyama hayupo, lazima amlipe huyo mnyama.

Read all of Exodus 22

Cross References

Amos 3:12Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kama vile mchungaji aokoavyo kinywani mwa simba 2 vipande viwili tu vya mfupa wa mguu 2 au kipande cha sikio, 1 hivyo ndivyo Waisraeli watakavyookolewa, 2 wale wakaao Samaria 2 kwenye kingo za vitanda vyao, 1 na katika Dameski 2 kwenye viti vyao vya fahari.”

Nahum 2:12Simba aliua mawindo ya kutosha watoto wake, 2 alinyonga mawindo kwa ajili ya mwenzi wake, 1 akijaza makao yake kwa alivyoua 2 na mapango yake kwa mawindo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 22:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 22:12Exodus 22Exodus 22:14 →