bible.software › Kutoka › Kutoka 22 › Kutoka 22:16
Kutoka 22:16
“Kama mtu akimshawishi bikira ambaye hajaposwa na akilala naye, lazima alipe mahari, kisha atamwoa msichana huyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if a man entice a maid that is not betrothed, and lie with her, he shall surely endow her to be his wife.
In Context
15Lakini mwenye mnyama akiwa angalipo na mnyama wake, mwazimaji hatalazimika kumlipa. Kama mnyama alikuwa amekodishwa, fedha iliyolipwa kwa kukodisha inatosha kwa kufidia hasara. 1 Uwajibikaji Wa Kijamii
17Baba wa msichana akikataa katakata kumpa huyo mtu huyo msichana wake, bado ni lazima huyo mtu atalipa mahari kama inavyostahili malipo ya ubikira.
Read all of Kutoka 22
Cross References
Deuteronomy 22:28Ikiwa itatokea mwanaume akutane na bikira ambaye hajaposwa na kumbaka nao wakakutwa,
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 22:16