The Bible Software
bible.softwareExodusExodus 22 › Exodus 22:2

Exodus 22:2

“Kama mwizi akishikwa anavunja nyumba akapigwa hata akafa, aliyemuua hana hatia ya kumwaga damu;

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If a thief be found breaking up, and be smitten that he die, there shall no blood be shed for him.

In Context

1“Kama mtu akiiba maksai au kondoo na kumchinja au kumuuza, ni lazima alipe ngʼombe watano badala ya maksai mmoja na kondoo wanne badala ya kondoo mmoja.

3lakini jambo hilo likitokea wakati jua limechomoza, huyo mtu atakuwa na hatia ya kumwaga damu. “Mwizi huyo sharti alipe, lakini kama hana kitu, lazima auzwe ili alipe kwa ajili ya wizi wake.

Read all of Exodus 22

Cross References

Numbers 35:27na mlipiza kisasi wa damu akamkuta nje ya mji, mlipiza kisasi wa damu anaweza kumuua mshtakiwa huyo bila kuwa na hatia ya kuua.

Job 24:16Katika giza, huvunja majumba, 2 lakini wakati wa mchana hujifungia ndani; 2 hawataki kufanya lolote nuruni. 1

Hosea 7:1kila mara nilipotaka kumponya Israeli, 2 dhambi za Efraimu zinafichuliwa 2 na maovu ya Samaria yanafunuliwa. 1 Wanafanya udanganyifu, 2 wevi huvunja nyumba, 2 maharamia hunyangʼanya barabarani, 1

Matthew 6:19“Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba.

1 Thessalonians 5:2kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Exodus 22:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Exodus 22:1Exodus 22Exodus 22:3 →