The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 7 › Hosea 7:1

Hosea 7:1

kila mara nilipotaka kumponya Israeli, 2 dhambi za Efraimu zinafichuliwa 2 na maovu ya Samaria yanafunuliwa. 1 Wanafanya udanganyifu, 2 wevi huvunja nyumba, 2 maharamia hunyangʼanya barabarani, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When I would have healed Israel, then the iniquity of Ephraim was discovered, and the wickedness of Samaria: for they commit falsehood; and the thief cometh in, and the troop of robbers spoileth without.

In Context

2lakini hawafahamu kwamba 2 ninakumbuka matendo yao yote mabaya. 1 Dhambi zao zimewameza, 2 ziko mbele zangu siku zote. 1

Read all of Hosea 7

Cross References

Isaiah 59:12Kwa sababu makosa yetu ni mengi machoni pako, 2 na dhambi zetu zinashuhudia dhidi yetu. 1 Makosa yetu yako pamoja nasi daima, 2 nasi tunayatambua maovu yetu: 1

Isaiah 59:14Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma, 2 nayo haki inasimama mbali, 1 kweli imejikwaa njiani, 2 uaminifu hauwezi kuingia. 1

Jeremiah 51:9“ ‘Tungemponya Babeli, 2 lakini hawezi kuponyeka; 1 tumwacheni, na kila mmoja wetu aende nchi yake mwenyewe, 2 kwa kuwa hukumu yake inafika angani, 2 inapanda juu hadi mawinguni.’ 1

Ezekiel 23:4Mkubwa aliitwa Ohola na mdogo wake Oholiba. Walikuwa wangu nao wakazaa wavulana na msichana. Ohola ni Samaria, Oholiba ni Yerusalemu.

Hosea 4:17Efraimu amejiunga na sanamu, 2 ondokana naye! 1

Hosea 6:4“Nifanye nini nawe, Efraimu? 2 Nifanye nini nawe, Yuda? 1 Upendo wako ni kama ukungu wa asubuhi, 2 kama umande wa alfajiri utowekao. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 7:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Hosea 7Hosea 7:2 →