Exodus 25:13
Kisha utatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt make staves of shittim wood, and overlay them with gold.
In Context
14Utaiingiza hiyo mipiko kwenye zile pete katika pande mbili za Sanduku ili kulibeba.
Cross References
Exodus 25:28Tengeneza mipiko hiyo kwa mbao za mshita, uifunike na dhahabu, uitumie kubeba hiyo meza.
Exodus 30:5Tengeneza mipiko kwa miti ya mshita na uifunike kwa dhahabu.
Exodus 40:20Akachukua ule Ushuhuda na kuuweka ndani ya Sanduku la Agano, akaweka ile mipiko ya kubebea hilo Sanduku na kuweka kiti cha rehema juu yake.
Numbers 4:8Juu ya hivyo vitu watatandaza kitambaa chekundu na kufunika kwa ngozi za pomboo na kuweka mipiko yake mahali pake.
Numbers 4:14Kisha wataweka vyombo vyote juu yake vinavyotumika kwa kuhudumia madhabahuni pamoja na vyombo vya kutolea moto, nyuma, miiko na mabakuli ya kunyunyizia. Juu yake watatandaza ngozi za pomboo ya kufunika, na kuweka mipiko mahali pake.