Kutoka 25:12
Utalisubu kwa pete nne za dhahabu na kuzifungia kwenye miguu yake minne, pete mbili kwa upande mmoja na pete mbili kwa upande mwingine.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Kisha utatengeneza mipiko ya mti wa mshita na kuzifunika kwa dhahabu.
Cross References
Exodus 25:26Tengeneza pete nne za dhahabu kwa ajili ya meza hiyo, na uzifungie kwenye pembe nne, pale penye miguu yake minne.
Exodus 27:7Hiyo mipiko itaingizwa kwenye zile pete ili iwe pande mbili za madhabahu inapobebwa.
Exodus 38:7Akaiingiza ile mipiko kwenye zile pete, ili iwe pande mbili za madhabahu kwa ajili ya kuibeba. Akaitengeneza madhabahu yenye uvungu ndani yake akitumia mbao. 1 Sinia La Kunawia (Kutoka 30:18)