Kutoka 25:36
Matovu na matawi yote yatakuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakifuliwa kwa dhahabu safi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Their knops and their branches shall be of the same: all it shall be one beaten work of pure gold.
In Context
37“Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake.
Cross References
Numbers 8:4Hivi ndivyo kinara cha taa kilivyotengenezwa: Kilitengenezwa kwa dhahabu iliyofuliwa, kuanzia kwenye kitako chake hadi kwenye maua yake. Kinara cha taa kilitengenezwa sawasawa kabisa na kielelezo ambacho Bwana alikuwa amemwonyesha Mose. 1 Kutengwa Kwa Walawi Kwa Ajili Ya Bwana
2 Chronicles 9:15Mfalme Solomoni akatengeneza ngao kubwa 200 kwa dhahabu iliyofuliwa. Kila ngao ilikuwa na dhahabu yenye uzito wa shekeli 600 + 9:15 Shekeli 600 za dhahabu ni sawa na kilo 3.5.