The Bible Software
bible.software › Kutoka › Kutoka 25 › Kutoka 25:37

Kutoka 25:37

“Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And thou shalt make the seven lamps thereof: and they shall light the lamps thereof, that they may give light over against it.

In Context

36Matovu na matawi yote yatakuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakifuliwa kwa dhahabu safi.

38Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi.

Read all of Kutoka 25

Cross References

Exodus 30:8Itampasa afukize uvumba tena wakati anapowasha taa wakati wa machweo ili uvumba ufukizwe daima mbele za Bwana kwa vizazi vijavyo.

Exodus 40:24Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa Maskani ya Mungu

Leviticus 24:4Taa zilizo juu ya kinara cha dhahabu safi mbele za Bwana lazima zihudumiwe daima.

2 Chronicles 4:20vinara vya taa vya dhahabu safi pamoja na taa zake ili ziwake mbele ya sehemu takatifu ya ndani kama ilivyoelekezwa; 1

Psalms 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu 2 na mwanga katika njia yangu. 1

Isaiah 8:20Kwa sheria na kwa ushuhuda! Kama hawatasema sawasawa na neno hili, hawana mwanga wa mapambazuko.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 25:37

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 25:36Kutoka 25Kutoka 25:38 →