The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 25 › Kutoka 25:4

Kutoka 25:4

nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu, pamoja na kitani safi; singa za mbuzi;

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And blue, and purple, and scarlet, and fine linen, and goats hair,

In Context

3Hizi ndizo sadaka utakazozipokea kutoka kwao: dhahabu, fedha na shaba;

5ngozi za kondoo dume zilizopakwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo; + 25:5 Pomboo hapa ina maana ya mnyama mwenye ngozi laini aishiye kwenye milima yenye misitu, au pengine nguva au sili. mbao za mshita;

Read all of Kutoka 25

Cross References

Genesis 41:42Ndipo Farao akaivua pete yake ya muhuri kutoka kidoleni mwake na kuivalisha katika kidole cha Yosefu. Akamvika majoho mazuri ya kitani safi na mkufu wa dhahabu shingoni mwake.

Revelation 19:8Akapewa kitani safi, nyeupe 2 inayongʼaa, ili avae.” (Hiyo kitani safi inawakilisha matendo ya haki ya watakatifu.)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 25:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 25:3Kutoka 25Kutoka 25:5 →