Kutoka 25:5
ngozi za kondoo dume zilizopakwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo; + 25:5 Pomboo hapa ina maana ya mnyama mwenye ngozi laini aishiye kwenye milima yenye misitu, au pengine nguva au sili. mbao za mshita;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And rams’ skins dyed red, and badgers’ skins, and shittim wood,
In Context
4nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu, pamoja na kitani safi; singa za mbuzi;
Cross References
Exodus 26:26“Pia tengeneza mataruma ya mti wa mshita: matano kwa ajili ya mihimili ya upande mmoja wa maskani,
Exodus 36:20Wakatengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.