The Bible Software
bible.software › Kutoka › Kutoka 26 › Kutoka 26:15

Kutoka 26:15

“Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And thou shalt make boards for the tabernacle of shittim wood standing up.

In Context

14Tengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo. + 26:14 Pomboo hapa ina maana ya mnyama mwenye ngozi laini aishiye kwenye milima yenye misitu, au pengine nguva au sili.

16Kila mhimili uwe na urefu wa dhiraa kumi + 26:16 Dhiraa 10 ni sawa na mita 4.5. na upana wa dhiraa moja na nusu,

Read all of Kutoka 26

Cross References

Exodus 26:18Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,

Exodus 36:20Wakatengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.

Numbers 4:31Huu ndio wajibu wao wanapofanya huduma katika Hema la Kukutania: kubeba miimo ya Maskani, mataruma yake, nguzo na vitako,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 26:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 26:14Kutoka 26Kutoka 26:16 →