bible.software › Kutoka › Kutoka 26 › Kutoka 26:18
Kutoka 26:18
Tengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt make the boards for the tabernacle, twenty boards on the south side southward.
In Context
17zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii.
19kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.
Read all of Kutoka 26
Cross References
Job 38:6Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, 2 au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni, 1
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 26:18