Exodus 26:21
na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And their forty sockets of silver; two sockets under one board, and two sockets under another board.
In Context
20Kuhusu upande wa kaskazini wa maskani, tengeneza mihimili ishirini
22Kisha tengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,