Kutoka 26:22
Kisha tengeneza mihimili sita kwa mwisho ulio mbali, yaani upande wa magharibi wa maskani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And for the sides of the tabernacle westward thou shalt make six boards.
In Context
21na vitako arobaini vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
23na pia utengeneze mihimili miwili ya pembe za upande ulio mbali.
Cross References
Exodus 26:15“Tengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.