bible.software › Kutoka › Kutoka 26 › Kutoka 26:9
Kutoka 26:9
Unganisha hayo mapazia matano yawe fungu moja, na hayo mengine sita yawe fungu lingine. Kunja hilo pazia la sita mara mbili mbele ya maskani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt couple five curtains by themselves, and six curtains by themselves, and shalt double the sixth curtain in the forefront of the tabernacle.
In Context
8Mapazia hayo kumi na moja yatakuwa na kipimo kimoja, yaani urefu wa dhiraa thelathini, + 26:8 Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5. na upana wa dhiraa nne.
10Tengeneza vitanzi hamsini kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu moja, na vivyo hivyo kwenye upindo wa pazia la mwisho la fungu hilo lingine.
Read all of Kutoka 26
Cross References
Exodus 26:3Unganisha mapazia matano pamoja; fanya vivyo hivyo kwa hayo mengine matano.
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 26:9