The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 26 › Kutoka 26:8

Kutoka 26:8

Mapazia hayo kumi na moja yatakuwa na kipimo kimoja, yaani urefu wa dhiraa thelathini, + 26:8 Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5. na upana wa dhiraa nne.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The length of one curtain shall be thirty cubits, and the breadth of one curtain four cubits: and the eleven curtains shall be all of one measure.

In Context

7“Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.

9Unganisha hayo mapazia matano yawe fungu moja, na hayo mengine sita yawe fungu lingine. Kunja hilo pazia la sita mara mbili mbele ya maskani.

Read all of Kutoka 26

Cross References

Exodus 26:2Mapazia yote yatatoshana kwa ukubwa: kila moja litakuwa na urefu wa dhiraa ishirini na nane, + 26:2 Dhiraa 28 ni sawa na mita 13. na upana wa dhiraa nne + 26:2 Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 26:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 26:7Kutoka 26Kutoka 26:9 →