bible.software › Kutoka › Kutoka 27 › Kutoka 27:15
Kutoka 27:15
Kutakuwepo tena na mapazia ya dhiraa kumi na tano + 27:15 Dhiraa 15 ni sawa na mita 6.75. kwa upande mwingine wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And on the other side shall be hangings fifteen cubits: their pillars three, and their sockets three.
In Context
14Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yatakuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
16“Kuhusu ingilio la ua, weka pazia lenye urefu wa dhiraa ishirini + 27:16 Dhiraa 20 ni sawa na mita 9. la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani iliyosokotwa vizuri, kazi ya mtarizi. Pazia hilo litashikiliwa na nguzo nne na vitako vinne.
Read all of Kutoka 27
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 27:15