The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 27 › Kutoka 27:16

Kutoka 27:16

“Kuhusu ingilio la ua, weka pazia lenye urefu wa dhiraa ishirini + 27:16 Dhiraa 20 ni sawa na mita 9. la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu pamoja na kitani iliyosokotwa vizuri, kazi ya mtarizi. Pazia hilo litashikiliwa na nguzo nne na vitako vinne.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And for the gate of the court shall be an hanging of twenty cubits, of blue, and purple, and scarlet, and fine twined linen, wrought with needlework: and their pillars shall be four, and their sockets four.

In Context

15Kutakuwepo tena na mapazia ya dhiraa kumi na tano + 27:15 Dhiraa 15 ni sawa na mita 6.75. kwa upande mwingine wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.

17Nguzo zote zinazozunguka ua zitakuwa na tepe na kulabu za fedha, na vitako vya shaba.

Read all of Kutoka 27

Cross References

Exodus 26:36“Kwa ajili ya ingilio la hema, tengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu na kitani safi iliyosokotwa vizuri, kazi ya mtarizi.

Exodus 36:37Kwa ajili ya ingilio la hema wakatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu na kitani safi iliyosokotwa vizuri, kazi ya mtarizi.

Judges 5:30‘Je, hawapati na kugawanya nyara: 2 msichana mmoja au wawili kwa kila mtu, 2 mavazi ya rangi mbalimbali kwa Sisera kuwa nyara, 2 mavazi ya rangi mbalimbali yaliyotariziwa, 2 mavazi yaliyotariziwa vizuri kwa ajili ya shingo yangu: 1 yote haya yakiwa nyara?’ 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 27:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 27:15Kutoka 27Kutoka 27:17 →