bible.software › Exodus › Exodus 28 › Exodus 28:13
Exodus 28:13
Tengeneza vijalizo vya dhahabu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt make ouches of gold;
In Context
12na uvifungie juu ya vipande vya mabega ya kisibau yawe kama vito vya ukumbusho kwa wana wa Israeli. Aroni atavaa majina hayo mabegani mwake kama kumbukumbu mbele za Bwana.
14na mikufu miwili ya dhahabu safi iliyosokotwa kama kamba, na uifunge mikufu hiyo kwenye vijalizo. 1 Kifuko Cha Kifuani (Kutoka 39:8-21)
Read all of Exodus 28
Cross References
Exodus 39:8Akafanyiza kifuko cha kifuani, kazi ya fundi stadi. Akakitengeneza kama kile kisibau: cha dhahabu, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, cha kitani safi iliyosokotwa.
This Verse In Other Editions
Study Exodus 28:13