Kutoka 28:14
na mikufu miwili ya dhahabu safi iliyosokotwa kama kamba, na uifunge mikufu hiyo kwenye vijalizo. 1 Kifuko Cha Kifuani (Kutoka 39:8-21)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Tengeneza vijalizo vya dhahabu
Cross References
Exodus 39:15Kwa ajili ya kile kifuko cha kifuani akakitengenezea mikufu ya dhahabu safi, iliyosokotwa kama kamba.
1 Kings 7:17Wavu wa mikufu iliyosokotewa kwenye zile taji juu ya zile nguzo, saba kwa kila taji.
2 Chronicles 4:12zile nguzo mbili; 1 yale mataji mawili yaliyokuwa juu ya hizo nguzo, 1 zile nyavu mbili za kupamba hayo mataji mawili yenye umbo la bakuli yaliyowekwa juu ya zile nguzo; 1