bible.software › Kutoka › Kutoka 28 › Kutoka 28:16
Kutoka 28:16
Kitakuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja + 28:16 Shibiri moja ni sawa na sentimita 22. na upana wa shibiri moja, na kikunjwe mara mbili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Foursquare it shall be being doubled; a span shall be the length thereof, and a span shall be the breadth thereof.
In Context
15“Fanyiza kifuko cha kifuani kwa ajili ya kufanya maamuzi, kazi ya fundi stadi. Kitengeneze kama kile kisibau: cha dhahabu, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, cha kitani safi iliyosokotwa.
17Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi;
Read all of Kutoka 28
Cross References
Exodus 39:10Kifuko hicho kilipambwa kwa safu nne za vito vya thamani. Safu ya kwanza ilikuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi;
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 28:16