Kutoka 28:17
Kisha weka safu nne za vito vya thamani juu yake. Safu ya kwanza itakuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18katika safu ya pili itakuwa na almasi, yakuti samawi na zumaridi;
Cross References
Exodus 28:11Yachore majina ya wana wa Israeli juu ya vito hivyo viwili kama vile sonara anavyochonga muhuri. Kisha uvitie vito hivyo katika vijalizo vya dhahabu,
Job 28:18Marijani na yaspi hazistahili kutajwa; 2 thamani ya hekima ni zaidi ya akiki nyekundu. 1
Proverbs 3:15Hekima ana thamani kuliko marijani; 2 hakuna chochote unachokitamani 2 kinachoweza kulinganishwa naye. 1
Proverbs 20:15Dhahabu kunayo, na marijani kwa wingi, 2 lakini midomo inenayo maarifa 2 ni kito cha thamani kilicho adimu. 1
Isaiah 54:11“Ewe mji uliyeteswa, uliyepigwa kwa dhoruba na usiyetulizwa, 2 nitakujenga kwa almasi, nitaweka misingi yako kwa yakuti samawi. 1
Ezekiel 28:13Ulikuwa ndani ya Edeni, 2 bustani ya Mungu; 1 kila kito cha thamani kilikupamba: 2 akiki nyekundu, yakuti manjano na zumaridi, 2 krisolitho, shohamu na yaspi, 2 yakuti samawi, almasi na zabarajadi. 1 Kuwekwa kwa hayo mapambo na kushikizwa kwake 2 kulifanywa kwa dhahabu; 2 siku ile ulipoumbwa yaliandaliwa tayari. 1