Exodus 28:22
“Kwa ajili ya kile kifuko cha kifuani, tengeneza mikufu ya dhahabu safi, iliyosokotwa kama kamba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt make upon the breastplate chains at the ends of wreathen work of pure gold.
In Context
Cross References
Exodus 28:14na mikufu miwili ya dhahabu safi iliyosokotwa kama kamba, na uifunge mikufu hiyo kwenye vijalizo. 1 Kifuko Cha Kifuani (Kutoka 39:8-21)
1 Kings 7:18Akatengeneza makomamanga katika safu mbili kuzunguka kila wavu kuremba mataji yaliyo juu ya nguzo. Alifanya hivyo kwa kila nguzo.