Exodus 29:6
Weka kilemba kichwani mwake na kuweka taji takatifu ishikamane na hicho kilemba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt put the mitre upon his head, and put the holy crown upon the mitre.
In Context
7Chukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake.
Cross References
Leviticus 8:9Kisha akamvika Aroni kilemba kichwani pake, akaweka lile bamba la dhahabu, yaani ile taji takatifu, upande wa mbele wa kilemba, kama Bwana alivyomwagiza Mose.