Exodus 29:7
Chukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then shalt thou take the anointing oil, and pour it upon his head, and anoint him.
In Context
6Weka kilemba kichwani mwake na kuweka taji takatifu ishikamane na hicho kilemba.
8Walete wanawe na uwavike makoti,
Cross References
Exodus 28:41Baada ya kumvika Aroni ndugu yako pamoja na wanawe nguo hizi, watie mafuta na kuwabariki. Waweke wakfu ili wanitumikie katika kazi ya ukuhani.
Exodus 40:13Kisha mvike Aroni yale mavazi matakatifu, umtie mafuta na kumweka wakfu ili apate kunitumikia katikati ya ukuhani.
Leviticus 8:10Ndipo Mose akachukua mafuta ya upako na kuipaka maskani na kila kitu kilichokuwamo ndani yake, kisha akaviweka wakfu.
Leviticus 21:10“ ‘Kuhani mkuu, yule miongoni mwa ndugu zake ambaye amekwisha kutiwa mafuta kwa kumiminiwa juu ya kichwa chake, na ambaye amewekwa wakfu kuvaa mavazi ya ukuhani, kamwe asiache nywele zake bila kufunikwa, wala asirarue nguo zake.
Psalms 89:20Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, 2 na nimemtia mafuta yangu matakatifu. 1
Isaiah 61:1Roho wa Bwana Mwenyezi yu juu yangu, 2 kwa sababu Bwana amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwaganga waliovunjika moyo, 2 kuwatangazia mateka uhuru wao, 1 na hao waliofungwa 2 habari za kufunguliwa kwao; 1