Kutoka 3:10
Basi, sasa nenda. Ninakutuma kwa Farao ili kuwatoa watu wangu Waisraeli kutoka Misri.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Sasa kilio cha Waisraeli kimenifikia, nami nimeona jinsi Wamisri wanavyowatesa.
11Lakini Mose akamwambia Mungu, “Mimi ni nani hata niende kwa Farao kuwatoa Waisraeli nchini Misri?”
Cross References
Judges 6:14Bwana akamgeukia na kusema “Enenda kwa uwezo wako huu, ukawaokoe Israeli kutoka mikononi mwa Wamidiani. Je, si mimi ninayekutuma wewe?”
Psalms 77:20Uliongoza watu wako kama kundi 2 kwa mkono wa Mose na Aroni.
Psalms 105:26Akamtuma Mose mtumishi wake, 2 pamoja na Aroni, aliyemchagua. 1
Hosea 12:13Bwana alimtumia nabii 2 kumpandisha Israeli kutoka Misri, 2 kwa njia ya nabii alimtunza. 1
Acts 7:34Hakika nimeona mateso ya watu wangu huko Misri. Nimesikia kilio chao cha uchungu, nami nimeshuka ili niwaokoe. Basi sasa njoo, nami nitakutuma Misri.’