Kutoka 3:15
Vilevile Mungu akamwambia Mose, “Waambie Waisraeli, ‘ Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo amenituma kwenu.’ Hili ndilo Jina langu milele, Jina ambalo mtanikumbuka kwalo kutoka kizazi hadi kizazi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 3:6Kisha akamwambia, “Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo.” Mose aliposikia hayo, akafunika uso wake kwa sababu aliogopa kumtazama Mungu.
Exodus 6:2Pia Mungu akamwambia Mose, “Mimi ndimi Bwana.
Deuteronomy 1:35“Hakuna mtu wa kizazi hiki kiovu atakayeona nchi nzuri niliyoapa kuwapa baba zenu,
1 Chronicles 16:16agano alilolifanya na Abrahamu, 2 kiapo alichomwapia Isaki. 1
2 Chronicles 28:9Lakini kulikuwako huko nabii wa Bwana aliyeitwa Odedi, akaondoka ili kukutana na jeshi liliporejea Samaria. Akawaambia, “Kwa kuwa Bwana, Mungu wa baba zenu, aliwakasirikia Yuda, aliwatia mikononi mwenu. Lakini mmewachinja kwa hasira ambayo imefika hadi mbinguni.
Psalms 68:5Baba wa yatima, mtetezi wa wajane, 2 ni Mungu katika makao yake matakatifu. 1