Exodus 6:2
Pia Mungu akamwambia Mose, “Mimi ndimi Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And God spake unto Moses, and said unto him, I am the LORD:
In Context
Cross References
Exodus 3:15Vilevile Mungu akamwambia Mose, “Waambie Waisraeli, ‘ Bwana, Mungu wa baba zenu, Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo amenituma kwenu.’ Hili ndilo Jina langu milele, Jina ambalo mtanikumbuka kwalo kutoka kizazi hadi kizazi.
Exodus 6:8Nami nitawaleta mpaka nchi niliyoapa kwa mkono ulioinuliwa kumpa Abrahamu, Isaki na Yakobo. Nitawapa iwe milki yenu. Mimi ndimi Bwana.’ ”
Exodus 17:1Jumuiya yote ya Israeli ikaondoka kutoka Jangwa la Sini, ikisafiri kutoka sehemu moja hadi nyingine kama Bwana alivyoagiza. Wakapiga kambi huko Refidimu, lakini hapakuwa na maji ya watu kunywa.
Isaiah 42:8“Mimi ndimi Bwana; hilo ndilo Jina langu! 2 Sitampa mwingine utukufu wangu 2 wala sanamu sifa zangu. 1
Isaiah 43:15Mimi ndimi Bwana, yeye Aliye Mtakatifu wako, 2 Muumba wa Israeli, Mfalme wako.” 1
Jeremiah 9:24lakini yeye ajisifuye, na ajisifu kwa sababu hili: 2 kwamba ananifahamu na kunijua mimi, 1 kwamba mimi ndimi Bwana, nitendaye wema, 2 hukumu na haki duniani, 2 kwa kuwa napendezwa na haya,” 4 asema Bwana.