Exodus 30:2
Madhabahu hayo yawe mraba, urefu na upana wake dhiraa moja, + 30:2 Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45. na kimo cha dhiraa mbili, + 30:2 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. nazo pembe zake zitakuwa kitu kimoja nayo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1“Tengeneza madhabahu kwa mbao za mshita kwa ajili ya kufukizia uvumba.
Cross References
Exodus 27:2Tengeneza upembe kwenye kila pembe ya hizo pembe nne, ili zile pembe na madhabahu ziwe zimeungana, na ufunike madhabahu kwa shaba.