bible.software › Exodus › Exodus 30 › Exodus 30:3
Exodus 30:3
Funika hayo madhabahu juu na pande zote na pia pembe zake kwa dhahabu safi, na uifanyizie ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt overlay it with pure gold, the top thereof, and the sides thereof round about, and the horns thereof; and thou shalt make unto it a crown of gold round about.
In Context
2Madhabahu hayo yawe mraba, urefu na upana wake dhiraa moja, + 30:2 Dhiraa moja ni sawa na sentimita 45. na kimo cha dhiraa mbili, + 30:2 Dhiraa mbili ni sawa na sentimita 90. nazo pembe zake zitakuwa kitu kimoja nayo.
4Tengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, ziwe mbili kila upande, za kushikilia hiyo mipiko itumikayo kuibebea madhabahu.
Read all of Exodus 30
Cross References
Exodus 25:24Ifunike kwa dhahabu safi, na kuitengenezea ukingo wa dhahabu kuizunguka pande zote.
1 Kings 7:48Solomoni pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Bwana: 1 madhabahu ya dhahabu; 1 meza ya dhahabu za kuweka mikate ya Wonyesho; 1
This Verse In Other Editions
Study Exodus 30:3