bible.software › Kutoka › Kutoka 30 › Kutoka 30:22
Kutoka 30:22
Kisha Bwana akamwambia Mose,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Moreover the LORD spake unto Moses, saying,
In Context
21watanawa mikono na miguu yao ili kwamba wasije wakafa. Hii itakuwa ni amri ya kudumu kwa ajili ya Aroni na wazao wake kwa vizazi vijavyo.” 1 Mafuta Ya Upako
23“Chukua vikolezi bora vifuatavyo: shekeli 500 + 30:23 Shekeli 500 ni sawa na kilo 6. za manemane ya maji, shekeli 250 + 30:23 Shekeli 250 ni sawa na kilo 3. za mdalasini wenye harufu nzuri, shekeli 250 za miwa yenye harufu nzuri,
Read all of Kutoka 30
Cross References
Exodus 35:15madhabahu ya kufukiza uvumba pamoja na mipiko yake, mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri; pazia la mlangoni mahali pa kuingilia ndani ya maskani;
Exodus 39:38madhabahu ya dhahabu, mafuta ya upako, uvumba wenye harufu nzuri na pazia la ingilio la hema;
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 30:22